ZANZIBAR: Mafuriko yasomba nyumba takribani 200.


Takribani nyumba 200 zimeripotiwa kusombwa na maji yaliyosababisha mafuriko kufuatia mvua zinazoendelea kunyesha nchini Tanzania, Tukio hio limetokea kisiwani Pemba ambapo pia nyumba takribani 660 zimeathiriwa na mafuriko hayo huku wakazi wapatao 3,000 wameachwa bila makazi.

Comments