JOS MTAMBO AONGEA NA ROHO...!!!!

Speaking of  wabishi wanaoipenda hardcore rap,lazima utajikuta unamlist mtu mzima kutoka area ya kigambonino,Jonathan Siza a.ka. Jos Mtambo, ameamua kuwakumbuka legends wamuziki walio pass away kwa kuachia mzigo unaotembea kwa taito ya Naongea na Roho akishirikiana na Belle 9 na ikiwa produced na mkali JRyder all the way from Tongwe Records,hii ngoma dizaini ni kama memory lane to all Tanzanian Music legends who are passed away, God bless the dead!!!!!

Comments