Brenda Fassie atimiza miaka 13 ya kifo chake.

                                                                     Brenda Fassie
Brenda Nokuzola Fassie maarufu kama Brenda Fassie na kwa maeneo ya Afrika Kusini alijulikana zaidi kama  "Queen of African Pop"  na wapenzi wengine wa muziki walimuita  The Black Madonna

Brenda Fassie alizaliwa tarehe 9 mwezi May mwaka 1964  huko maeneo ya   Langa, Cape Town na kufariki mwaka 2004 kwa matumizi yaliyopitiliza ya dawa za kulevya aina ya Coccaine, Fasie alifariki akiwa na umri wa miaka 39, mashabiki wengi wa muziki wanankumbuka kwa nyimbo zake kali na zilizompa jina ndani na nje ya mipaka ya kusini mwa Afrika, kama angelikuwa hai mpaka leo hii Brenda Fassie angekuwa na umri wa miaka kam hamsini na mbili hivi.

Comments