VIDEO CLIP: DIVA NA ALI KIBA WAPIGANA BUSU ON STAGE

                             
                                                         Kiba na Diva katika busu

        Star wa bongo flava Ali Kiba pasipo kutarajia amejikuta akipigana busu flani hivi romantic na mtangazaji wa Clouds FM Diva Loveness Love, kitu hicho kilitokea usiku wa jana wakati Ali Kiba alipoitwa stage na Diva na mashabiki kuanza kupiga shangwe za Diva..Diva...Diva kitu kilichowapa mzuka Diva na Kiba kubadilishana mate kiaina,..kodolea hapo juu jinsi ilivyokuwa.

Comments