NEW JOINT-"LOVE MATATA"-JEBBY (AUDIO)

Baada ya kitambo kirefu cha kuchilly bila kufanya kazi ya muziki inaonekana mwana kutoka kitaa cha TMK ame strike back again kwa kurudi na material ambayo kiukweli inafit katika category za muziki wa sasa, dude  linaitwa LOVE MATATA na mpishi wa ngoma hii ni Mazuu all the way down kutoka Mazuu record....Get Busy kuiskiliza.

Comments