SHETTA ATIMIZA AHADI YAKE APIGA KOLABO NA KCEE

                                                            SHETTA NA KCEE
Shetta the shetta huenda labda ndo ametimiza kile alichokiahidi mwaka jana (2014) ambapo aliahidi kupiga kolabo kali na artist kutoka Nigeria, this time around jamaa amefanya hicho kitu baada ya kumpa featuring rapper KCEE wa Nigeria aliyewahi ku-make hits kali ya LIMPOPO na nyingine kadhaa, material imeblessiwa kwa jina la "SHIKOROBO"  na jamaa wapo location kwa ajili ya video making ya wimbo huo, pia story ni kuwa Diamond platnum ndiye aliyeplay party ya kumuunganisha Shetta na KCEE.

Comments