MAVOKO AJITANGAZA KUWA BALOZI WA WATOTO WALIOFUNGWA JELA.

Mkali wa mavoko Rich Mavoko ameibuka na kutangaza kujiteua kuwa mwakilishi (Balozi) wa watoto waliofungwa jela huku sababu kubwa ya kufanya hivyo akidai kuwa ni....
kutokana na situation ya maisha aliyowahi kupitia zamani ambayo kwa kiasi kikubwa inafanana na mazingira wanayoishi watoto hao,Mavoko amedai kuwa ingawa hajawahi kufikia hatua wanayoishi watoto hao lakini amekiri kuwa kwa siku za nyuma ameshawahi kuwekwa lock-up mara kadhaa hivyo kwa kuguswa sana na maisha ya watoto hao yeye kupitia management yake yupo kwenye mchakato wa kuanza kutembelea watoto hao na kutoa misaada kadhaa kwao (source:Bongo5.com).

Comments