MASTER P ALIVYOTENGENEZA KICHWA CHA HABARI KUPITIA BIRTHDAY CAKE


Katika kile kinachosemwa kama kuonyesha mapenzi yake ya dhati kwa stuff brand ya Louis Vuitton ambapo boss wa label ya No Limit, Master P katika sherehe yake ya kuadhimisha miaka 46 ametengenezewa keki ambayo ipo katika mtindowa handbag  ya Louis Vuitton; Hizi ni baadhi ya ni baadhi ya B'DAY Pix za Master P.

Comments