MWINYI: MAMA NDIYO ALINISHAURI NIRUDI MACHOZI BAND....

 Siku kadhaa zilizopita Lady Jaydee alitupia ujumbe katika ukurasa wa facebook na kuomba maoni kutoka kwa wadau kuhusiana na Mwinyi kurudi katika band yake,upande wa pili Mwinyi ameeleza...
ukweli na kusema kwamba hakuwa na ndoto za kurudi katika band hiyo bali ni mama yake mzazi ndiye alimshauri na ndiyo maana ameweza kurudi tena kundini.

Comments