CIARA YUKO POA TU NA FUTURE...

 Msanii anaye tamba na Nyimbo kama `Same Dam Time  Na Turn Off The Lights' ,Future kutoka`Epic Record label' ambayo ndiyo label anayofanyia kazi Ciara. Interview ya mwisho aliyo fanyiwa Future kuhusu Mixtape yake mpya na maendeleo yake kwenye mziki Future alifunguka kuhusu uhusiano wake na Ciara Nakusema...
kwa sasa hawezi sema lolote ila Ciara anamfurahisha sana na yeye anapenda kampani yake. Wakiwa karibu wanajiskia vizuri kitu ambacho ni poa kwenye mahusiano alisema Future. 
mpaka sasa  tayari wamefanya wimbo pamoja na ni single ya Ciara, Sorry Remix ft Future.

Comments