MWANAFA, AY, J MARTINS KUFANYA WIMBO WA PAMOJA ..

                           Moja kati ya zilizozagaa kunako kiwanda cha muziki Tanzania na huenda Africa nzima pia ni kuhusiana na collabo inayotegemewa kufanywa kati ya wakali kutoka Tanzania na Nigeria, AY, MWANAFA PAMOJA NA J MARTINS kutoka Nigeria ndo wanatajwa kuwemo katika collabo hiyo inayotabiriwa kukick ile kwa sana tuuuuu....

Comments