BRIGGITE ALFRED NDIYE MISS TANZANIA 2012

 Brigitte Alfred akiwa na furaha baada ya kutangazwa rasmi kuwa  mshindi wa  miss Tanzania 2012  jana katika ukumbi wa Ubungo Plaza jijini Dar es Salaam.
 Mshindi wa Miss Tanzania 2012 Brigitte Alfred (katikati) katika picha ya pamoja na mshindi wa Pili Eugene Fabian (kushoto) na Mshindi wa Tatu, Edda Sylvester.

                          Juu sehemu ya umati uliohudhuria kushuhudia shindano la kumtafuta Miss Tanzania 2012 picha ya chini mshindi wa Miss Tanzania 2012 Brigitte Alfred akionyesha vazi la ubunifu.

Comments