RIHANA ATAJWA KAMA CELEBRITY WA KIKE MWEUSI NAMBA TANO ANAYEINGIZA PESA NYINGI DUNIANI

                    Mwanamuziki wa kike kutoka kitaa cha marekani ametajwa na jarida la forbes la nchini marekani kama mmoja wa macelebrity wa kike mweusi anayeingiza mkwanja mrefu, rihana a.k.a RIH-RIH ameshika namba tano katika list hiyo kwa kukadiriwa kuingiza dola za kimarekani milioni 53 kwa mwaka  huku mwanadada Oprah Winfrey akishika namba moja na huku britney spear akishika namba 2 kwa kuingiza dola milioni kama 58 hivi za kimarekani.

Comments