NA HUYU NDIO BEST ACTOR KUPITIA 2012 BET AWARDS


                        Funnyman  Kevin Hart ndiye aliyekuwa announced as a best actor of the year kupitia tuzo za BET 2012, jamaa aliweza kuchukua tuzo hiyo baada ya kuyabwaga majina makubwa kama kina Idris Elba na wakali wengine kibao wa movie,  "I was a shoo-in," he joked. “Much better than Denzel, much better than Don Cheadle. I look better than Idris [Elba].”  alijigamba Kevin wakati akipokea tuzo hiyo.

Comments