KILICHOCHANGIA KIFO CHA MAMA WA P-SQUARE HIKI HAPA:

 Kilichosababisha kifo cha Josephine Okoye, mama wa Peter & Paul Okoye a.ka. p-square ni ugonjwa wa moyo uliokuwa ukimsumbua Bi.Mkubwa huyo kwa kipindi kirefu ambapo kwa mujibu wa msemaji wa P-Square marehemu alilazwa hospitali ya St.Nickolaus kabla ya kuamishiwa pande za india kimatibabu zaidi kabla mauti kumkuta.

Comments