JAY-Z & KANYE WEST WON BIG AT THE 2012 BET AWARDS


              2012 unaweza kuwa ni mwaka wa mafanikio kwa "best partners" kwa kuhold tuzo ya video of the year kupitia BET Music Awards-2012 "I'm just happy to be here; I'm glad to support the culture" alisema Jay Z wakati akifurahia tuzo hiyo huku akisapotiwa na Kanye west kwa kusema
"Thank you for allowing us all to push the envelope, We put in a lot of work, a lot of hours, a lot of sleepless nights. We don't take it lightly. We don't take for granted the opportunity that y’all giving to us."Pia wakali hao wameweza kuibuka na tuzo ya best group.

Comments