Alikiba aonyesha ukubwa wake Samia Cup


Msanii wa bongofleva Alikiba anasema kwa mara ya kwanza ameshuhudia Project aliyoanzisha  imekuwa na mvuto mkubwa na kupendwa na watu wa kila aina.

Anasema katika Mashindano haya ya Samia Cup Alikiba amefanikiwa kuwavuta Mastaa wa aina zote na kwenda kujumuika kwenye Mashindano yale.

Kuna watu wengi sana wametengenza Connection pale lakini pia wengine wamepata ajira kupitia mshindano yao na kuna timu zimepata Ubalozi kupitia tu Mashidano yale.


Comments