Speaking of wabishi wanaoipenda hardcore rap,lazima
utajikuta unamlist mtu mzima kutoka area ya kigambonino,Jonathan Siza a.ka. Jos
Mtambo, ameamua kuwakumbuka legends wamuziki walio pass away kwa kuachia mzigo
unaotembea kwa taito ya Naongea na Roho akishirikiana na Belle 9 na ikiwa
produced na mkali JRyder all the way from Tongwe Records,hii ngoma dizaini ni
kama memory lane to all Tanzanian Music legends who are passed away, God bless
the dead!!!!!
|
Comments
Post a Comment