Leo tarehe 3 may wanahabari kote ulimwenguni wanaungana kuadhimisha siku ya uhuru wa vyombo vya habari ulimwenguni,Maadhimisho hayo ya siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari ulimwenguni ambayo mwaka huu yamebeba kauli mbiu isemayo FIKRA YAKINIFU NYAKATI ZA CHANGAMOTO JUKUMU LA VYOMBO VYA HABARI KATIKA KUDUMISHA AMANI,USAWA NA JAMII JUMUISHI yanafanyika jijini mwanza na kuhudhuriwa na washiriki zaidi ya 250 kutoka ndani na nje ya nchi.
Comments
Post a Comment