Wakati leo ikiwa ni "Labour Day" sugu kwake ni "Birthday",Atimiza miaka 45 ya kuzaliwa.

                                                            Mh. Joseph Mbilinyi
Mbunge wa jimbo a Mbeya mjini Joseph Mbilinyi maarufu kama "sugu" (zamani Mr.II),
Leo tarehe moja mwezi wa tano mwaka 2017 anaadhimisha siku yake ya kuzaliwa.

 kumbukumbu zinaonesha sugu alizaliwa tarehe kama ya leo mwaka 1972 katika hospitali ya Ligula iliyopo mkoani Mtwara, hivyo leo wakati wafanyakazi wote duniani wanasherehekea sikukuu yao Sugu naye kwa nafasi yake anasherehekea kutimiza miaka 45 tangu kuzaliwa kwake.

Comments