Ummy Mwalimu: Majeruhi wa ajali Karatu wanaendelea vizuri, MOI yapeleka madktari

                                                Waziri Ummy Mwalimu akiwa hospitalini
Waziri wa Afya, Maendeleo ya jamii, Jinsia na Watoto Ummy Mwalimu amesema majeruhi wa ajali Karatu wanaendelea vizuri na tayari wizara imeshapeleka madktari bingwa kutoka MOI.

Comments