Nikki Wa Pili
Niki wa pili ni mmoja kati wanabongofleva wanaofanya vizuri katika muziki kwa upande wa Tanzania na Afrika ya Mashariki kupitia kundi lake la Weusi, Kupitia ukurasa wake wa Twitter Niki amejaribu kuelezea kwa ufupi falsafa yake juu ya suala zima la kujichubua, Ameandika "Kujichubua ni moja ya mfumo hatari sana wa ubaguzi wa rangi, yani unajibagua ni hatari bora kubaguliwa"

Comments
Post a Comment