Majeneza yenye miili ya marehemu
Umati uliojitokeza katika Viwanja vya Sheikh Amri Abedi kwa ajili ya zoezi la kuaga miili ya wanafunzi 32,walimu Wawili pamoja na Dereva Mmoja wa shule ya Lucky Vicent
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan , ameongoza mamia ya wananchi wa mkoa wa Arusha na Mikoa ya Jirani katika kuaga miili ya wanafunzi 32,walimu Wawili pamoja na Dereva Mmoja wa shule ya Lucky Vicent katika uwanja wa Shekh Amri Abeid Jijini Arusha waliopata ajali katika eneo la Rhotia wilayani Karatu mkoani Arusha.
Comments
Post a Comment