PICHA: Freeman Mbowe atembelea baadhi ya sekondari Kilimanjaro.

          Freeman Mbowe akiwa katika ziara yake katika moja kati ya shule za Sekondari alizotembelea

Mwanasiasa na mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Freeman Mbowe mwishoni mwa wiki hii alizitembelea shule za sekondari za Machame Kaskazini,Masama Kusini pamoja na sekondari ya Boma ya N'gombe zote za mkoani Kilimanjaro kwa ajili ya kuangalia maendeleo sambamba na kufuatlia changamoto za kielimu zinazozikabili shule hizo.

Comments