Scene inayoonesha mazingira ya kizamani
Matukio kama haya ya kusisimua nayo mara nyingi siyo ya kweli bali hufanyika ndani ya studio tu na kufanyiwa utundu wa kuyahadaa macho ya mtazamaji.
Kuna wakati tunatazama Movie halafu mtu anaonekana anakimbia kwa mwendokasi katika mazingira ya msitu mnene tunajiuliza picha ilipigwaje? Mara nyingi hutandikwa reli na mpiga picha utembea kwa kasi akiwa na camera iliyo kwenye kitreni kidogo kukimbia sawa na mhusika anayeigiza tukio.
Kuna wakati mpiga picha analazimika kuingia mpaka kwenye maeneo yenye maji ili kukamilisha picha inayotakiwa
Wanyama wa kutisha kama Dragon na wengineo hupachikwa tu kifundi wakati wa editing ila kwenye picha halasi huwa hawapoMatukio kama haya ya kusisimua nayo mara nyingi siyo ya kweli bali hufanyika ndani ya studio tu na kufanyiwa utundu wa kuyahadaa macho ya mtazamaji.
Mara nyingi filamu zinaonyesha mkusanyiko mkubwa sana wa watu, uhalisia ni kuwa wanakuwa watu wachache tu ila huongezwa kiufundi tu ili waonekane ni wengi. |
Kuna wakati tunatazama Movie halafu mtu anaonekana anakimbia kwa mwendokasi katika mazingira ya msitu mnene tunajiuliza picha ilipigwaje? Mara nyingi hutandikwa reli na mpiga picha utembea kwa kasi akiwa na camera iliyo kwenye kitreni kidogo kukimbia sawa na mhusika anayeigiza tukio.
Comments
Post a Comment