(Picha kutoka XINHUA)
Serikali ya China ipo kwenye ujenzi wa daraja la kuvutia lenye nakshi za dhahabu,daraja hilo lipo katika mji wa Beijing na linatajwa huenda likwa daraja la kuvutia sana diniani, Kihistoria daraja hio ni a miaka mingi sana ambalo kimsingi lilikuwa linatumika kuunganisha jamii mbalimbali za uchina kutoka magharibi mpaka mashariki kutoka china mpaka bahari ya Mediterania.
Comments
Post a Comment