Dar es salaam ni jiji linalotajwa kuwa na idadi kubwa ya watu kwa ukanda wa Afrika ya Mashariki ambapo inakadiriwa kuwa na wakazi zaidi ya milioni tano na pia ikitajwa kama kitovu cha shughuli za kiuchumi katika ukanda ulioko mashariki ya Afrika, Tzee connected imekuconnect japo ujionee kwa picha muonekano wa jiji hili maridhawa hasa nyakati za usiku.
Comments
Post a Comment