YANGA YAANIKA KIKOSI CHAKE KITAKACHOCHEZA NA MOULOUDIA


Hata hivyo uongozi wa timu ya Yanga umeweka hadharani kikosi chake cha maangamizi dhidi ya waarabu hao huku wakijitapa kutumia mfumo wa 4-4-2,
Kikosi hicho ni kama ifuatavyo;
1. Deogratius Munishi 
2. Hassani Kessy 
3. Haji Mwinyi 
4. Kelvin Yondani 
5. Nadir Haroub 
6. Saidi Juma
7. Saimoni Msuva 
8. Thabani Kamusoko 
9. Donald Ngoma
10. Haruna Niyonzima 
11. Deusi Kaseke
Akiba 
Beno Kakolanya - Vicent Andrew
- Juma Andul
- Juma Mahadhi 
- Geofrey Mwashuiya
- Amisi Tambwe
- Emanuel Martin 
Katika mchezo uliopita timu ya Yanga ilishinda bao 1-0 dhidi ya MC Alger ulichezwa uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam.

Comments