WAZIRI MKUU:Watanzania waiamini serikali katika kupambana na uhalifu

                                                       Waziri mkuu Kasim Majaliwa
                       Waziri mkuu Kasim Majaliwa amewaasa watanzania kuwa na imani na serikali katika suala zima la kupambana na uhalifu nchini,Ameongeza kuwa serikali inajitahidi kwa hali na mali kuhakikisha nchi inakuwa kwenye hali ya usalama na piawananchi wana jukumu la kushirikiana kikamilifu na aerikali katika kufanikisha suala hilo.

Comments