Viongozi wakuu wa upinzani nchini Kenya zikiwa zimesalia siku 102 tu kabla ya uchaguzi mkuu nchini Kenya,Muungano wa vyama vya upinzani nchini humo unatarajiwa kumtaja atakayewania urais dhidi ya Rais Uhuru Kenyatta kwenye uchaguzi mkuu wa mwezi Agosti.
Comments
Post a Comment