Mamlaka za afya nchini kenya zimeripoti kuwa kila baada ya dakika 9 mwanamke mmoja ufariki dunia kutokana na utoaji mimba usio salama,
Wizara ya Afya nchini humo imetoa ripoti kuwa kwa mwaka Kenya inapoteza wanawake wapatao 500, 000 kufuatia matukio ya utoaji mimba kiholela.
Utafiti uliofanywa unaonyseha idadi kubwa ya wanawake wanaopoteza maisha kwa utoaji mimba usio salama ni wale ambapo wanaishi maisha duni na wengine wao kukosa taarifa juu ya madhara ya utoaji mimba na jinsi ya kujilinda wasipate mimba zisizotarajiwa.
Comments
Post a Comment