UMMY MWALIMU: Rais aagiza madaktari 258 waajariwe on April 19, 2017 Get link Facebook X Pinterest Email Other Apps Waziri wa afya Ummy Mwalimu amesema Raisi Magufuli ameagiza kuwa wale madaktari 258 waliokuwa tayari kufanya kazi nchi Kenya waajiriwe serikalini maramoja. Comments
Comments
Post a Comment