PROF.NDULU: KAMA FEDHA ZINATUMIKA KATIKA UWEKEZAJI KIUCHUMI HAKUNA TATIZO DENI LA TAIFA KUONGEZEKA

                                                               Prof. Benno Ndulu-Gavana-BOT

Gavana wa benki wa benki kuu ya Tanzania (BOT) profesa Benno Ndulu amesema hakuna tatizo deni la taifa kuongezeka kama fedha zinatumika kuwekeza kama zifanyavyo nchi zinazoendelea ikiwemo Japan.

Comments