|
Diamond Platnumz |
Ne-Yo
|
Diamond na Ne-Yo |
Jana katika tukio la Kupromoti na kuuza brand yake mpya ya pafyumu yake mpya aliyoipa jina "Chibu Perfume" Msanii Diamond Platnumz amemtaja msanii wa kimarekani Ne-Yo kama ni mmoja kati ya watu waliompa pongezi kubwa kwa hicho alichokifanya, Wasanii hao wawili wamefanya kolabo yao iitwayo Marry You inayofanya vizuri kupitia mauzo ya mtandaoni.
Comments
Post a Comment