PICHA:MUONEKANO WA KIVUKO KIPYA CHA KIGAMBONI.

 Huu ni muonekano wa pantoni linalotegemewa kuanza kuhudumia wasafiri kati ya kivukoni/magogoni na  kigamboni ambalo linategemewa kuanza kutoa huduma ya kivuko muda wowote kuanzia sasa.




Comments