Madaktari 258 walioomba kazi Kenya watakiwa kuripoti vituo vya kazi kuanzia leo.


Madaktari 258 walioomba kazi nchini Kenya kufuatia rais wa nchi hiyo kumuomba Dkt. Magufuli kupatiwa madaktari kadhaa kufuatia mgomo wa madktari nchini humo watakiwa kuripoti vituo vya kazi siku 14 kuanzia leo hiyo ni kwa mujibu wa taarifa kutoka wizara ya Afya.


Comments