Korea kaskazini yatishia kuzamisha meli za kimarekani

                      Vyombo vya habari vya Korea kaskazini vimeripoti kuwa nchi hiyo itazamisha meli ya kubebea ndege inayomilikiwa na wamarekani inayoelekea rasi ya Korea.

Comments