Dk. BILAL:Asilimia 70 ya maambukizi ya UKIMWI yanatoka kwa wasichana.

                                                        Dk. Mohamed Gharib Bilal
Makamu wa rais wa tisa wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania  Dk. Mohamed Gharib Bilal amesema kuwa Takwimu zinaonyesha asilimia 70 ya maambukizi ya UKIMWI yanatoka kwa wasichana, Dk. Bilal aliyasema hayo kupitia ukurasa wake wa Twitter.

Comments