Ridhiwani Kikwete
Baada ya Timu ya Barcelona kuvuna ushindi wa gili 3-2 dhidi ya Real madrid katika mchezo maarufu kama EL-CLASSICO (The Classics) au kwa tafsiri ya mtaani "MIAMBA" Mbunge wa jimbo la Chalinze Ridhiwani Kikwete kupitia ukurasa wa Instagram ameandika "Mengi sana yametokea lakini Timu bora imeshinda na Mchezaji Bora Zaidi amethibitisha Ubora wake".

Comments
Post a Comment