AUDIO: Dundika na ngoma mpya ya Ray C...


Baada ya kupiga kimya kwa kipindi kirefu diva kutoka bongoflevani Rehema Chalamila
a.ka. Ray C amerudi akiwa na ladha tamu zaidi ya tuliyoizoea kupitia kazi yake mpya aliyoipa jina UNANIMALIZA ambayo ndani ya kipindi kifupi tu tangu ilipozamishwa kwenye tovuti za muziki hapa Tanzania imeonekana kula views nyingi na pia kupakuliwa kwa kasi ya kustaajabisha.

Comments