Afrika ya mashariki ni ukanda wenye rasilimali na vivutio vingi sana vya kuvutia na pengine kushangaza, moja kati ya vivutio hivyo ni pamoja na uwepo wandege wenye rangi mbalimbai za kuvutia,mmoja kati ya ndege hao wenye mvuto wa juu katika ukanda huu ni ndege aina ya Crane.
Crane anatajwa kama ndege wanaovutia kimuonekano hasa kwa rangi zao za kuvutia,miguu yao mirefu na shingo zao zilizochongoka kitu ambachokinawaongezea uzuri wa asili ndege hawa.
Ndege huyu anapatikana zaidi katika nchi za Amerika ya kusini na Antarctica na kwa upande wa Afrika mashariki Crane wanapatikana zaidi nchini Uganda.
Nchini Uganda ndege huyu anaheshima ya juu sana kiasi kwamba natumika kama nembo ya taifa hilo na pia hata timu ya taifa ya mpira wa miguu wa nchi hiyo imepewa jina "The Cranes" hiyo yote ikiwa ni katika kuonyesha heshima kwa ndege huyo wa kuvutia, Huyo ndiyo Crane, ndege mwenye sifa ya juu nchini Uganda.
Comments
Post a Comment