MTOTO WA MICHAEL JACKSON AHITIMU MASOMO YAKE KWA UFAULU MKUBWA..

Mtoto mkubwa wa the late Michael Jackson, Prince Jackson juzi alionekana kupendeza sana kupitia gauni lake la  graduation alilotupia siku ya kukabidhiwa gamba lake la Diploma kautoka katika shule ya Buckley iliyopo kitaa cha San Fernando pande za US aliyokuwa anapiga buku, La Toya, Paris, Catherine na ndugu zake wengine waliungana na Prince katika kufurahia jamaa kumaliza Diploma yake salama na kupata ufaulu wa high distiction....Congrats kwako Prince Jackson

Comments