Nisher
Director kutokea kitaa cha Arusha inaonekana ni kama ameshindwa kuvumilia baada ya kuona kile kilichofanywa na video director mwenzie Hanscana katika Video mpya ya JUX kuonekana kufanana sana na kile alichokifanya yeye katika video ya XO ya Joh Makini, kupitia instagram account yake Nisher amepost....Why??? Pesa imekua tamu, IDEA NA CONCEPT..Zaidi ya hapo Nisher ameziunganisha screenshots zote mbili yaani ile ya JUX na JOH ambazo kiukweli zimeonekana kufanana sana has mazingira ya hizo clip zote..saga halijaishia hapo hizo scene zote mbili zimeonekana pia kufanana na ile aliyowahi kuifanya R.kelly miaka ya nyuma katiaka ile video yake ya FIESTA.
Comments
Post a Comment