Michael Jordan |
Kwa mara ya kwanza mkali wa kikapu pande za marekani Michael Jordan "MJ" ametinga katika billionaires list kwa kushika nafasi ya 513 hiyo ni kwa mujibu wa magazine ya Forbes ambayo imetaja orodha kamili ya matajiri 290 wapya ambamo ndani yake yupo mzee mwenyewe "MJ".
Utajiri wa Michael Jordan unatajwa kuchangiwa zaidi na malipo anayopata kutoka kwa kampuni ya Nike kupitia brand yake ya Air Jordan na pia kupitia timu yake anayoimiliki ya kikapu ya Charlotte Hornets hivyo kusababisha mkwanja aliouhifadhi bank kusomeka $500.
Comments
Post a Comment