Inaonekana ni kama bado hajakubali kushindwa katika kitu anachokipenda kwa miaka mingi kwani ameshawahi kusema wazi kuwa muziki ni dawa kwake na wasikilizaji wake yaani akiwa anasikiliza nyimbo zake mwenyewe huwa anafeel poa, kwa mara nyingine legend wa R&B Marry J.Blige amerudi tena ku-strike katika game kwa kuachia kichupa kipyaa na kisafiii, mzigo unaitwa doubt kutoka katika album yake mpya ya The London Sessions.
Comments
Post a Comment