LIL WAYNE AMDISS DRAKE ADAI ALIWAHI KUTOKA NA DEMU WAKE.


Wiz beiby- Lil wayne ameibuka na kumdis rapper mwenzake kutoka YMCMB Drake-dreezy kwa kum-snitch wakati anatumikia kifungo chake jela.

Kupitia kitabu alichoandika kuhusu matukio yaliyowahi kumtokea katika maisha yake wayne ameandika kwa uchungu mwingi juu ya tukio alilowahi kulifanya drake kwa kuwahi kutoka kimapenzi na demu wake, Wayne ameelezea kuwa
tukio hilo lilitokea mwaka 2010 wakati alipokuwa katika gereza la Rikers Island akitumikia kifungo cha kumiliki silaha kinyume na sheria ambapo drake alimtembelea gerezani na kumchana wayne kuhusu kutembea na demu wake.

Kuonyesha hasira yake kali kwa Drake kupitia kitabu chake wayne ameandika... This is a type of S**t that a man never wants to find out when he's locked up, Or maybe So, cause only God knows what I would've done if I was not locked up right now.


Comments