Karueche Tran ni mmoja kati ya wanadada ambao star wa muziki kitaa cha US Chriss Brown amewahi kuwa nao katika mahusiano yake ya kimapenzi, juzi kati hapa Karueche alifatwa mpaka nyumbani kwake na muendesha reality show mkongwe Oprah Winfrey kupitia kituo chake cha Tv cha OWN na kushare na Oprah juu ya maisha yake ikiwemo mahusiano yake ya muda mrefu na Chriss...Mtazame zaidi hapo juu.
Comments
Post a Comment