HAPA FID Q.... HAPA SAUTI SOL VUTA PICHA JOINT ITAKUWAJE!



       Fid Q, Ay, Shaa pamoja na Sauti Sol ndani ya studio wakati Fid alipokuwa seesion ya kurekodi.

Hardcore rapper kutoka mwanza Fid Q alias Fareed Kubanda huenda akawa amefanya kile ambacho fans wake hawakuwa wamekitegemea kwa mwaka huu, licha ya kutoka na amazing kichupa kilichokuwa visualized and directed by Nisher, mzee mwenyewe Fid ameendelea kutia njaa katika bongo flava kwa kutia maguu mpaka kitaa cha Kenya na kugonga ngoma na wakali wa Soul Sauti Sol wanaotishia na hits kadhaa kwa tym hizi hapa, So tutegemee material kali kutoka kwa Fid Q pamoja na Sauti Sol.

Comments