AUDIO: BABU TALE AKIZUNGUMZA KWA MAJONZI JUU YA KILICHOPELEKEA KIFO CHA ABDU BONGE-SIKILIZA HAPO CHINI:

                                                                        Babu Tale
                            
  Mwishoni mwa wiki hii bongofleva ilipata msiba mzito ambao umewagusa wasanii wengi akiwemo  madee ambaye ametoboa kuwa marehemu Abdul Shabani  Tale tale maarufu kama Abdu Bonge kwa kiasi kikubwa ndiye aliyehusika sana na mafanikio ya muziki wake....Kufuatia kifo hicho mdogo wa marehemu ambaye kwa ushirikiano wao mkubwa ndiyo walichangia katika kulisimamisha kundi la Tip Top Connection ambalo limesaidia wasanii wengi na ambaye pia kwa sasa ndiye meneja Diamond "Babu Tale" kwa uchungu ameelezea jinsi tukio lilivyotokea....msikilize zaidi.

Comments