VANESSA MDEE KAPEWA SHAVU NA G.K

                                              Vanessa na GK-Photo-Bongo5.com


Songbird anayefanya poa kwa tym hizi katika bongo flava Vanessa Mdee amekuwa mdada pekee katika waimbaji wa kike wa kizazi hiki kupata nafasi ya kushirikishwa na mkali kutoka Team ya East Coast  King Crazy GK alias Gwamaka Kaihula,

 Mzigo umemhusisha the super dupa music prodyuza kutoka maabara ya muziki ya MJ Productions huku Beat ikifanywa na long time producer John Mahundi, bado haijajulikana mzigo huo utaitwaje ila point ya msingi aliyoikazia zaidi GK ni kuwa ameashirikisha Vanessa katika joint hiyo sababu ni mwimbaji wa kike mwenye uwezo wa aina yake katika kuimba  na pia amemtaja AY kama ndiyemtu anayehusika sana katika kuisimamia project hiyo   .

Comments